DIAMOND PLATNUMZ AFIKISHA VIEWES MILLIONI 1 YOUTUBE NDANI YA SAA 15

Mkali Diamond Platnumz amemake history ya kufikisha viewers million moja ndani ya Saa 15 kwenye mtandao wa youtube na kuvunja rekodi ya wimbo wa Alikiba Seduce Me ambao ulifikisha idadi ya viewers millioni 1 ndani ya Saa 38.

Diamond Platnumz amepost kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa ''Lord have Mercy! I can't even Explain how grateful i am...1 Million Youtube Views within 15 hours.....Thank you so much for this Love and Support.... Let's take our African Music to the World....🙏
 
(Nawashkuru sana kwa Upendo, Sapoti na kuendelea kupokea kidogo changu niwapacho... Nawashkuru sana, Niwashkuru pia kwa kuifanya #Hallelujah kuwa imetizamwa mara Milioni 1 ndani ya Saa 15....Tuendelee kushikana na kuupeleka Mziki wetu Dunia nzima.


TAZAMA HAPA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOSEMA KUWA AMETOA MILLION 10 KUMNUNULIA GARI Q BOY MSAFI