DIAMOND AWATOLEA UVIVU WANAOMTUKANA MTANDAONI


Katika hali ya kushangaza Nassib Abdul Maarufu kama  Diamond Platnumz amewatolea lugha chafu baadhi ya mashabiki zake ambao walikuwa wakimsema hasa kutokana na sakata lake na Hamisa Mobetto iliyotokea katikati ya wiki hii.
Katika posti aliyoweka katika mtandao wa Instagram ambayo ilikuwa ya Zari akimtakia heri katika siku yake ya kuzaliwa, baadhi ya mashabiki walianza kuponda na kumsema, kitendo kilichomkera Diamond na kuamua kuwajibu kwa lugha kali. Tazama Hapa chini


VIDEO: DIAMOND amemfuata ZARI South Afrika, Cheki walivyokula Bata la kibabe kwenye Birthday ya Zari