DAVIDO 'Najuta kujibu Meseji za DM, Sirudii tena!'.


Hitmaker wa if na fall, Davido kutoka Nigeria amesema hatojibu tena meseji za DM baada ya kuzinguliwa na mtoto mmoja  hiviwa moto alijulikana kama Sheila.

Davido aliamsha nalo tukio kwa kuposti videio clip na kusema kuwa hatojibu tena DM kwa kuwa Sheila alijitapa kwamba msanii huyo alimcheki DM na kuchati nini na Sheila na kitendo hicho kimefanya Davido a-mind sana kwa kuwa yeye anadai mtoto huyo ndiye aliyeanza shobo nae na kumrukia DM!, kosa lake Davido kujibu!!!


Sheila alipost screenshot ya chati yake na Davido na kuandika caption hii:-
“No better feeling than waking up to Davido’s text… We all have tastes and differences… I like my male friends Black and Moneyed!” alisema hakuna kitu cha furaha kama kuamka na kukutana na meseji ya Davido, tunamachaguo tofauti, napenda jamaa zang wa kiume wa Afrika na mkwanja'


Baada ya hapo Davido akaamua kujibutua insta na kuweka chati yao halisi na kumchana Sheila alivyomsingizia eti alianza kuzama DM na kusema kuwa hatojibu tena DM za watu kwenye account zake.

VIDEO: ANGALIA HAPA CHINI ALICHOFANYA