COUNTRY BOY:TURN UP NI WIMBO MZURI SANA NDIYO MAANA UNAFANYA VIZURI MPAKA SASA


Heat maker wa wimbo wa turn up Country boy amesema anajivunia kuwa na wimbo mkali ambao unadumu kwa kipindi chote ambacho ngoma nyingi sana zinatoka.


''Nashukuru sana mungu lakini pia mafans ni watu ambao wanairequest sana kwenye media,yaani ni kumekuwa kuna ngoma nyingi sana zinatoka lakini ukichagua kati ya ngoma tatu zinazofanya vizuri hauwezi kuikosa turn up najisikia furaha'' pia mkali Country boy amesema kuwa anawaahidi mashabiki zake kuwa atafanya kazi nzuri kwa kutoa kazi nzuri na zenye viwango..,''hatushuki chini ya kiwango tunapanda viwango'' ameongeza mkali Country boy