Cheki Diamond na Zari walivyokula Bata la kibabe kwenye Birthday ya Zari South Africa


Baada ya Diamond kumtakia Birthday baby mama wake, Zari The Bosslady kwenye page yake ya instagram usiku wa kuamkia Sept 23 na kuandika ujumbe uliojaa huba zito na sifa kibao kwa Zari akiwa bongo.
Diamond amuibikia Zari South Africa, Washerekea birthday ya The Bosslady Zari kwa shangwe la kibabe wakiwa na frineds huku kwenye background ikisikika Eneka na Love You Die ya Patoranking x Diamond Platnumz, ngoma zote zimebeba ujumbe mzito wa malovi davi.

VIDEO:Je Hii inaonesha kuwa Zari yuko peace na Chibudenga?!