Chege kashirikisha vichwa 13 kwenye albumu yakeMtoto wa Mama Saidi, Chege Chigunda amedonsharasmi albamu yake aliyoipa jina la ‘RunTown’ kwenye album hiyo kuna ngoma 14 na amewashirikisha wasanii 14 kwenye collabo zilizomo.


Kwenye albumu hiyo kuna vichwa kama Mh Temba msichakaji wake kutoka TMK, na rapa mwenye Sauti ya mamlaka kutoka ilalaaaa, Chid Benz, Mkali wa Sina Jambo, Bill Nass, Mrembo Ray C, Malaika, Jamaa mwenye Vocal za kitajiri, Rich Mavoko, Mkali kutoka Nigeria Runtown, Uhuru wa South Afrika, Sukari ya Warembo, Diamond Platnumz, Nandy, Dija, Sanapei na Gift.

Chege ameshirikisha wakali 13 kwenye albumu hiyo na ngoma ya 14 amepiga mwenyewe, pia kuna ngoma ambazo zina vichupa kabisa.

Albumu hiyo itakuwa inapatikana YouTube, iTunesm Spotify, Mziiki.com, Wasafi.com

TAZAMA INTERVIEW YA VANESSA MDEE