Chagua Ngoma Unayoikubali Iongoze Chati Wiki Hii

Lil'ommy.com na LilOmmyTV kwa pamoja tumekuletea Chati ya ngoma kali zinazofanya poa Bongo,

Wiki Ya Septemba 25 mpaka Oktoba 1 mambo yapo kama hivi.

1. Alikiba - Seduce Me

2. Wasafi - Zilipendwa

3. Patoranking X Diamond Platnumz - Love You Die

4. Nandy - Wasikudanganye

5. Jux - Utaniua

6. Ben Pol - Kidume

7. Rayvanny - Unaibiwa

8. Lady Jaydee - I Miss You

9. Bill Nass - Sina Jambo

10. Maua Sama - Katu Katu

Chati yetu ya ngoma kumi Kali wiki hii inasomeka kama hivyo,

Unachotakiwa kufanya ni kuingia Lil'ommy.com na kuipigia kura ngoma unayoikubali iendelee kushika nafasi za juu.