BOBI WINE SIKU CHACHE BAADA YA KUINGIA BUNGENI KAKUTANA NA VURUGU HIZI

Msanii na pia mbuge kutoka Uganda Bobi Wine siku chache baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo siku ya jana alikutana na msala baada ya kutokea vurugu kwenye bunge lao tazama picha zikimuonyesha akiwa kwenye vurugu hizo.


Bobi Wine mwenye kofia nyekundu akiwa kwenye vurugu hizo