Beyonce na Jay Z: Ni mapenzi motomoto kwenye yacht

Beyonce and Jay-Z date night Credit: Beyonce.comMapenzi kati ya Beyonce na Jay Z kwa sasa ni motomoto kuliko ilivyowahi kuwa. Mastaa hao wameshare picha wakiwa ndani ya huba nzito kwenye yacht, Alhamis hii. Jay Z anaonekana akiwa amemkumbatia mkewe kwa mkono mmoja mabegani na akimpiga busu na mkononi akiwa na cigar KiOG.