ASLAY AMEWANYAMAZISHA WANAOSEMA ANAANDIKIWA NYIMBO ZAKE NA FELA.


Aslay ni moja kati ya vijana wanaofanya muziki mzuri sana kwa sasa hivi kwenye game la Bongo Fleva hilo halina ubishi.

Kuna vijihabari vilianza kupenya kuwa anaandikiwa nyimbo zake na Mkubwa Fella, ila kupitia interview aliyofanya kwenye THE PLAYLIST Times FM, Sept 25. Aslay amekanusha hilo na kusema kuwa Fella walikuwa wakisaidiana nae kwenye uandishi wa ngoma zao kipindi wapo kundi la Yamoto Band.

Mh Waziri Mwakyembe amenongea rasmi kuhusu beef la Alkiba na Diamond, tazama hapo chini:-