Alikiba ameweka rekodi ingine, Seduce Me yafikisha Viewers Million 5 ndani ya Siku 18!

Video ya Alikiba SEDUCE ME imefikisha idadi ya kutazamwa mara million tano 5 Million Views) ndani ya siku 18 tu toka ilipopandishwa kwenye mtandano August 25 kupitia channel yake ya AlikibaVEVO.

Video hiyo alivunja rekodi Saa chache tu baaada ya kuwekwa kwenye mtandao kwa kufikisha viewers zaidi ya Millioni moja ndani ya Saa 38 tu na kuwa namba moja kwenye trending kwa zaidi ya wiki.

Rekodi hiyo ilishawai kufikiwa na videos zingine za Kuwa na viewers million 5 ila sio kwa kipindi kifupi cha siku chache kitu ambacho Alikiba amekifanya mpaka sasa.

Video him aliyoshoot Cape Town Afrika Kusini na Director mpya kabisa, Kyle Lewis.