@OmmyDimpoz ameachia VIDEO ya Cheche, itazame hapa


Ladies and gents, Baada ya kutusubirisha sana, hatimaye yule Omary mwenye Dimpoz zake tayari yupo machoni kwako na kichupa cha ngoma yake "Cheche"

Kama maudhui ya wimbo wenyewe kwenye Video wameonekana mrembo Saada Said na muigizaji Patcho Mwamba wakivimba na mashoping ya kibabe ndani ya GSM Mall.
Enjoy Nayo Hapa:

 

DIAMOND amemfuata ZARI South Afrika, Cheki walivyokula Bata la kibabe kwenye Birthday ya Zari: