50 CENT AMUITA DIDDY ''BISCUTI YA MATUNDA''


Wakati wa wa kusheherekea part ya kuchapishwa kwa gazeti la XXL Magazine ambalo huchapisha interview za wakali wa HipHop kama mkali 50 Cent,Sean ''DIDDY'' Combs,Nick Minaj,SnoopDogg,T.i,GuciMane na kadhalika.

Mkali 50 Cent amemponda Sean Diddy''combs'' kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kumfananisha na biscuit ya matunda.,ameandika''nigga tried to make his eyes look all glossy,this nigga a fruit biscuit'' akimaanisha kuwa huyu jamaa anajaribu kutengeneza macho yake kutazama yote,huyu jamaa ni sawa na biscuti ya matunda.