Kwenye Playlist Ya Alikiba Kuna Hii Ngoma Ya Msanii Wa WCB

Hauhitaji kuwa shabiki wa Alikiba ili kujua kama ana ngoma mpya, Tangu Agosti 25 alipoiachia #SeduceMe Alikiba ameendelea kuwa gumzo mjini baada ya kuishikilia chati ya "Trending" kwenye mtandao wa Youtube takribani siku 5 za uhai wa ngoma hiyo. 


Kwenye #SeduceMeMediaTour Alikiba alidondoka 100.5 Times FM na kupiga mastori kibao kwenye #ThePlaylist, Miongoni mwa vitu alivyoongelea Alikiba ni mapokezi ya ngoma hiyo na ngomna anazozikubali ikiwemo "Tuachane" ya LavaLava wa WCB:

MCHEKI HAPA: