Chris Brown - Questions (Official Video)

Takribani wiki moja baada ya kuiachia "Pills And Automobile" Chris Brown amedropisha ngoma mpya inayoitwa "Questions"

Kwenye Video wanaonekana Chris Brown na wacheza Show wake wakiumiza, 

Pamoja na dance la hatari Chris Brown ameinogesha "Questions" kwa  kutupia vionjo " Come caress my body / You got me going crazy / Turn me on!” vya "Turn Me On" ya Kevin Lyttle ngoma ambayo iliwahi kuwa hit miaka ya 2003-4,

Icheki Hapa:Questions imekuja siku chache baada ya "Pills And Automobile" ngoma ambayo Breezy alikaririwa akiitaja kuwa utangulizi wa double Albamu zake "Heartbreak On A Full Moon" anazotarajia kuziachia mwishoni mwa mwezi Oktoba.

Isikilize "Pills And Automobile ft Kodak Black, Yo Gotti na A Boogie With AHood.