Bruno Mars Ameidondosha Video Ya "Versace On The Floor"


Bruno Mars amedropisha Video ya ngoma yake  mpya "Versace On The Floor" ambayo mtoto mzuri Zendaya ameifanya idadi ya watu walionekana humo kuwa wawili tu.

Kwenye Video anaonekana Bruno akipiga Piano huku Zendaya akicheza pembeni yake.Versace On The Floor inakua ngoma ya pili kutoka kwenye Albamu yake "24K Magic" ikitanguliwa na "That's What I Like" .