Orodha Ya Washindi Wa Tuzo Za VMA Zilitolewa Jana Marekani

Julai 25 mwaka huu MTV walitangaza majina ya wanamuziki waliotajwa kuwania Tuzo za VMA Kwa mwaka huu, Mshindi wa Tuzo ya Mwanamuziki bora wa Hip Hop Kendrick Lamar alitajwa kuwania vipengele 8 na kumfanya awe mwanamuziki aliyetajwa mara nyingi zaidi akifuatiwa na Kate Perry, The Weeknd na Dj Khaled ambao wote walitajwa kwenye vipengele 5 kila mmoja.
Usiku wa Agosti 27 moja kwa moja kutoka kwenye ukumbi wa “The Forum” California Marekani tuzo hizo zilitolewa,
Hii Hapa Ni Orodha Ya Washindi Na Vipengele Walivyotajwa:

Video of the Year

Kendrick Lamar — “Humble

Artist of the Year

Ed Sheeran

Best New Artist

Khalid

Best Collaboration

Zayn and Taylor Swift — “I Don’t Wanna Live Forever

Best Pop

Fifth Harmony (featuring Gucci Mane) — “Down

Best Hip Hop

Kendrick Lamar — “Humble

Best Dance

Zedd and Alessia Cara — “Stay

Best Rock

Twenty One Pilots — “Heavydirtysoul

Best Fight Against the System

Best Cinematography

Kendrick Lamar — “Humble.” (Director of Photography: Scott Cunningham)

Best Direction

Kendrick Lamar — “Humble.” (Directors: Dave Meyers and The Little Homies)

Best Art Direction

Kendrick Lamar — “Humble.” (Art Director: Spencer Graves)

Best Visual Effects

Kendrick Lamar — “Humble.” (Visual Effects: Jonah Hall of Timber)

Best Choreography

Kanye West — “Fade” (Choreographers: Teyana Taylor and Guapo)

Best Editing

Young Thug — “Wyclef Jean” (Editors: Ryan Staake and Eric Degliomini)

Song of the Summer

Lil Uzi Vert — “XO Tour Llif3

Michael Jackson Video Vanguard Award

Pink