Alichokifanya Mariah Carey Kwenye Unforgettable Ya French MontanaMwanamuziki muimbaji mkongwe wa R&B Mariah Carey ameachia “Unforgettable” Remix Ft French Montana na Swae Lee wimbo ambao umeamsha hisia na mizuka ya mashabiki wa wanamuziki hao.
Miongoni mwa maoni yanayoonekana kutajwa mara nyingi ni mashabiki kutaka kuiona Video ya wimbo huo.

Isikilize Hapa:Muda mfupi baada ya Remix hiyo kwenda viral Mariah akaiachia tena Guitar Version