Vanessa Mdee Ft. Mr. P ( P-Square ) - Kisela | Official Video

Vanessa Hau Mdee, Maarufu Kama Vee Money anajaribu kutuonyesha kama kwenye game hajaingia kujaribu wala kucheza hiyo inakuja kufuatia mafanikio na mapokeo makubwa ambayo amekua akiyapata kupitia singles anazodropisha kila anapokua tayari kufanya hivyo.

 Leo Julai 10 kupitia XXL ya Clouds FM Radio Vanessa Mdee ameitambulisha Audio ya ngoma yake mpya "Kisela" ambayo sauti ya Mnaijeria Peter Okoye anaeunda kundi la P Square imeungana na sauti ya Vee kwenye mdundo wa Producer EKelly (Nigerian).

 Download: Vanessa Mdee Ft. Mr. P (P-Square) – Kisela 

Video ya ulingoni inayowaonyesha wapenzi wawili waliopo kwenye mahusiano yasiyoeleweka imefanywa na Director "Clarence Peters", Chukua Muda Wako Kuiangalia Hapa Halafu Tuambie Kilichokuvutia/Kilichoku-Bore.DOWNLOAD MP4