Povu La Jux Kwa Nikki Mbishi Sio La Nchi Hii

Stori kubwa iliyopo kwenye mitandao na blogs mbalimbali za Bongo ni kuvunjika kwa penzi la muimbaji Jux na aliyekua mpenzi wake mwandada Vanessa Mdee..

 Vanessa Mdee ambae ametumia vyombo mbalimbali vya habari kuthibitisha kumwagana kwke na Jux pia ameitaja "Kisela" kuwa Dedication Song kwa muimbaji huyo wa "Umenikamata".

 Nikki Mbishi anaetamba na ngoma yake "Kama Unatafuta Kiki" ameutumia ukurasa wake wa Twitter kuandika maneno ambayo yalionekana kama ni kumchokonoa Jux...


  Baada ya Jux kuisanukia tweet hiyo hakuamua kuiacha ipite... Haya ndio majibu yake..


Hata hivyo majibu ya Jux kwa Nikki Mbishi hayukaa muda mrefu kwenye mtandao huo kwani Jux alifuta tweet hiyo na kufanya kama hakuna kilichotokea.


KWANINI VANESSA MDEE HATAKI KOLABO ZA MAREKANI?