Wizkid kamchana Davido kwenye Twitter.

Wizkid kamchana Davido kupitia Twitter. Ni hisia za watu wengi na its so obvious kuwa michano iyo aliyoichana kupitia Twitter ilikia inamlenga Davido na wengi kuhisi Beef lao limeanza upya. ;
Kwa wanaofatilia Snpachat ya Davido wanaweza kuwa waliona Davido kama anarusha michano kwa Daddy yo kwenye snapchat yake, so kama vile Wizkid nae amemjibu kwa kumchana sana kwenye kurasa yake ya Twitter.
;
Wizkid ameandika - U can't hate on someone doing better than u in what u failed at! Learn and appreciate! Free ur mind from hate young kids. The game is only for the real! Catch up or stay local! Don’t blame anybody for ur failures! Pray and work hard kids!
;
Beef la Wizkid na Davido kama lilizima hivi baada ya kuonekana walipiga picha pamoja South Africa after MTV Awards 2015 na tukio lingine ni wao Kupanda ndege binafsi pamoja na walipost picha kwenye page zao za instagram huku Wizkid aliandika At top (akamtag Davido) !! ?? Only us !! Na Davido nae aliandika its not easy to be at the top!! With my brother (akamtag Wizkid) !! Fvck with him u Fvck with us!! lakini kama beef lao limerudi tena hivi saivi.
;
Week chache zimepita Wizkid aliingiza ngoma yake Come Closer kwenye chati za muziki Nigeria katika nafasi ya kwanza na kuitoa if ya Davido iliyokaa kwenye chati kwa muda mrefu na kusogea mpaka nafasi ya pili, Pia aliingiza ngoma yake Sweet Love katika nafasi ya 3.