Vanessa Kathibitisha Kuachana Na JUX, Maisha Ya Nigeria Na KuvamiwaAlipokua Lagos, Nigeria mrembo wetu wa bongoflevani Vanessa Mdee alifanya mahojiano na SoundCity Radio (Moja kati ya Radio Stations zinazokinukisha kinomanoma kwenye upande wa burudani.
 Akipiga stori na mtangazaji Moet Abebe, Vanessa Mdee amefunguka mambo kibao ikiwemo maisha ya Lagos na kutemana na aliyekuwa mpenzi wake Africanboy JUX.

CHEKI FULL INTERVIEW HAPA: