Diamond Platnumz :Jokate Amechangia Idea Kweye VIDEO Ya I Miss You, Wema Alihusika Kwenye.....THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
 Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy


PART TWO: 


. 
Niguse kwenye social networks: http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more Interviews, Hotnews, Exclusives, Music, Videos, Artists Profiles, Gossip etc.