Nikki wa Pili ndio msanii aliyetoa jina la 'CLASSIC SOUND' Studio ya Mona Gansta.

Msanii kutoka Weusi Nikki wa Pili alifanya interview kwenye THE PLAY▶LIST Times FM June 17, 2017 na kusema kuwa jina la Studio ya Mona Gansta la CLASSIC SOUND lilipatikana wakati wanarekodi ngoma yake ya kiujamaa.

Kama utakumbuka kwenye intro ya wimbo huo, Nikki alisema maneno 'Classic Sound Now' na hapo ndipo Mona akaona achukue neno la CLASSIC SOUND na kulifanya kuwa jina la Studio yake.

TAZAMA FULL INTERVIEW YA NIKKI WA PILI: