Miezi Mitatu Baadae Drake Aibariki More Life Kwa SignDrake amekua kimya kwa zaidi ya miezi mitatu sasa tangu kuachiwa kwa "More Life" Albamu ambayo aliitaja kuwa ni Playlist ya Kila siku kwa kila mtu atakaependa kuisikiliza. Ukiachana na "To The Max" ya Dj Khaled Hakuna Video wala project mpya ambayo imemfanya Drake kusikika siku za hivi karibuni. Leo kwenye maonyesho ya mavazi ya "Louis Vuitton" kwa mara ya kwanza  imesikika "Sign" ngoma ambayo inatajwa kuwa ni kazi mpya ya Mkanada Drake.

Cheki Hapa Ilivyokua: