Kim Kardashian ametolewa mapovu sana Twitter.

Kim Kardashian amechanwa sana Twitter kwa kudaiwa kujibadilisha rangi kiaina na kuwa mweusi ‘Blackface’ kwenye Promo ya Makeup Line yake mpya.
;
Baada ya picha za promo hiyo kusambaa kwenye mitandao, haikuchukua muda watumiaji wa Twitter wakaona usitutanie na kuanza kushusha makavu kwa kuona kuwa muonekano wa Kim umebadilika tofauti na ilivyo kawaida.