Katy Perry ndio star wa kwanza kufikisha followers million 100 kwenye mtandao wa Twitter.

Miongoni mwa mastaa wanaopendwa zaidi duniani na kufatiliwa sana huwezi kuacha kumtaja Katy Perry.

Katy Perry amekuwa star wa kwanza kufikisha idadi ya followers Milioni 100 kwenye akaunti yake ya Twitter,

Utakumbuka Katy Perry ali join Twitter February, 2009 na kufikia mwaka 2012 alifikisha Followers Milioni 50. Mastaa wengine wanaounga tela nyuma yake ambao wanaonekana kuwa na followers wengi kwenye mtandao wa Twitter ni pamoka na kipenzi cha warembo wengi Justin Bieber Followers 96.7M, Barrack Obama 90.8M, Taylor Swift 85.1M, Riri Rihanna 74.1M.

Na hiyo ndio list ya mastaa wanaoongoza kuwa na followers wengi Twitter, Top 5.