DJ Khaled - I'm so Grateful ft. SizzlaBaada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye kila kitu kimeenda kama kilivyopangwa, Dj Khaled aliahidi Juni 23 kuwa siku maalum ambayo Grateful itapata uhai.
 Kama alivyoahidi mapema leo ameiachia Albamu hiyo ambayo inamfanya mnyamwezi kuwa na utajiri wa Albamu zipatazo 10.
 "Im Soo Grateful" Intro ya Album hiyo aliyoshirikishwa Mjamaica Sizzla imepata zali la kuachiwa video yake mapema leo ikitanguliwa na Wild Thoughts iliyowakutanisha Rihanna na Bryson Tiller.


DJ Khaled - (Intro) I'm so Grateful ft. Sizzla