Beyonce na Jay Z finally wapata watoto mapacha baada ya Bey kujifungua.

Stori ni kwamba Beyonce amejifungua watoto wapacha tayari, The Carters wameongeza members wengine kwenye familia. Bado jinsia ya watoto hao na majina yao kutangazwa / kuthibitishwa soon. Ingawa Beyhive wanamwaga Tweet za kutosha kupendekeza majina ya watoto hao.
;
Ripoti zinadai kuwa Beyonce na Jay Z wametumua $ 1.2 kwa ajili ya uwazazi wa mapacha hao kwenye Private Maternity Ward yao nyumbani kwao, ilionekana Beyonce alidiscuss na madakatari wafanye mpango wakuweka ward maalum nyumbani kwa ajili ya kujifungua mapacha hao.