AppMoji Imethibitisha Kumuongeza Future Kwenye Emoji Za Mastaa


Future Hndrx haliwezi kuwa jina geni tena masikioni mwa wabongo hata kama wapo ambao hawakuwahi kumsikia mnyamwezi huyo kufuatia kuwaa Unloked pamoja na Casper Nyovest, Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Navykenzo na Weusi kwa ajili ya kukinukisha kwenye show ya CastleLite Unlock July 22 pale viwanja vya Leaders. 
 Future ambae kwa sasa anatamba na hitsong "Mask Off" amethibitishwa kuingia mkataba na AppMoji kwa ajili  ya utengenezwaji wa Emoji zake zaidi ya 10.

ZICHEKI HAPA: