Navy Kenzo - Bajaj (Official Music Video) ft. Patoranking


Kutoka kwenye mikono salama ya kwake mwenyewe Nahreel, Hii hapa ni Bajaj ambayo Mnaijeria Patoranking amefanya alichokifanya.

 Bajaj ni ngoma namba tatu kwenye AIM (Albam ya Kwanza Ya Navykenzo) ambayo iliachiwa December 2016.

 
 AIM ina jumla ya ngoma 11 zilizowashirikisha wanamuziki na Producers kadhaa wa Afrika wakiwemo Ali Kiba, Mr Eazi, Rosa Ree,Maphorisa, R2BEES n.k

Miongoni mwa ngoma hiz ipi bora kwako mpaka sasa?, Ofcourse yangu ni Bajaj.