Video: Harmonize Aizindua #HarmoNightTour Kwa Style HiiBaada ya kufanya poa na Wimbo wake "Niambie" baadae "Show" aliyofanya na Rich Mavoko Harmonize amerudi tena kwenye hii Video ya wimbo wake "Happy Birthday" ulioachiwa mwezi March mwaka huu.

Enjoy Nayo Hapa:

  

DOWNLOAD AUDIO:

 Kwa mujibu wa WCB Video ya wimbo huu ni Ishara ya uzinduzi wa Ziara ya Harmonize iliyopewa jina #HarmoNightTour itakayoanzia nyumbani kwao Mtwara.

Princess Tiffah Kaamua Kufanya Kazi Ya Uimbaji Kama Baba Yake: