Tuzo za AFRIMA zinakuja tena mwaka huu.
Tuzo za AFRIMA zimezinduliwa rasmi Afrika Kusini katika Maslow Hotel, Sandton, South Africa na Rais wa Tuzo za Afrima, Mr. Mike Dada.Uzinduzi huo iliudhuliwa na viongozi wa Umoja wa Afrika, member wa International Committee ya AFRIMA, washindi wa tuzo hizo miaka iliyopita, media na wadau wa burudani na ulijikita katika kuleleza matukio kabla ya tuzo hizo ambazo kwa sasa ni Submission of entries itakayoanza May 8 ulimwenguni kote na kufungwa July 17, 2017.Mr. Dada alishauri wasanii, mameneja, watayarishaji, lebo za muziki, wamiliki wa studio na watayarishaji video kupeleka kazi zao mapema ili kuweza kupata nafasi katika tuzo hizo kubwa Afrika. 

‘’Irrespective of how popular an artiste or their works are in Africa, failure to submit for the awards means their chances of being nominated for AFRIMA 2017 is practically non-existent,”, Dada pointed out. alisema kushindwa kupeleka kazo zao wasanii ina maana kushindwa kupendekezwa kwenye tuzo.
Baadhi ya mastaa waliofika ni pamoja na Wax Dey; Sjava; Buffalo; Mi Casa; Busiswa; The Soil; Heavy K; Ugly Priddy; Cindy Munyavi and Fungisia amongst others. Other music industry stakeholders present included: MD, Africori Digital Music Solutions, Mr. Yoel Kenyan; MD, Content Connect International, Mr. Munya Chanesta; Group Manager, Africa Sales and Marketing, Sun International, Ms. Jennifer Beattie; Director, Vth Season Management and Ms. Ninel Musson to name a few.

AFRIMA, ni tuzo za kusherekerea, kutunza na kuonesha utajiri wa utamaduni kwenye muziki wa kiafrika katika bara la Afrika na Duniani. zaidi kuonesha jinsi ambavyo muziki umeweza kutoa ajira, kupunguza umasikini, na kulitangaza bara la Afrika.