Katy Perry - Swish Swish (Audio) ft. Nicki Minaj


Baada ya kufanya poa na ngoma kama “Chained to the Rhythm” na “Bon App├ętit” ambayo ndani kundi la Migos wamehusika Katy Perry anaendelea kuzidondosha ngoma baada ya ngoma ni wiki moja tu baada ya Bonm Appetit, Leo amethibitisha kama Albamu yake “Witness” inayotajwa kuwa sokoni kuanzia June 9 mwaka huu haitakua ya kizembe cheki na hii “Swish Swish” Ft. Nicki Minaj.