Ujumbe Maalum Wa Janeth Jackson Kwa Mashabiki Zake..
Hatimaye muimbaji Janeth Jackson ameweka wazi kilichokua kikimsubirisha kwa mujibu wa video iliyoonekana kwenye tovuti yake.

 Janet (51) ameonekana kwenye video hiyo akiwathibitishia mashabiki wake tetesi za yeye kutengana na mume wake Wisam Al Mana mwenye asili ya kiarabu waliekutana mwaka 2012 na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.

 Mwanamama huyo pia ametangaza Ziara yake ya Dunia ambayo ilikua ifanyike mwaka jana (2016) lakini ilishindikana kutokana na 
ujauzito aliokua nao. 

  Mtazame Hapa Janeth Jackson Akithibitisha Kutengana Na Mumewe:
IDRIS Sultan Aeleza Jinsi Mkwanja Wa BBA Ulivopungua Fasta, Hajawai Kukutana Na Harmonize: