Young Thug kuna na Album mpya, Drake ndo Executive ProducerRapper mkali Young Thug aliwachana mashabiki zake ujio wa album yake ya 4 na kusema kuwa Drake ndiyo atakuwa Executive Producer wa album hiyo.

Thug alizi break news hizo kwenye account yake ya twitter kama navokuchana apo chini.

“Singing album this week,” he tweeted. “EASY BREEZY BEAUTIFUL THUGGER GIRLS….Michael Thugger Jackson @Wale voice! @Drake will be EP’n my singing album..Singing to only my type on this project…’rika.'”
Bado hakutaja jina la album na kuwaacha mashabiki kujiuliza sana, Je anaweza kuita Easy! au
Breezy Beautiful Thugger Girls
? au labda Michael Thugger Jackson?

Guess jina la abum litaitwaje then dondosha comment hapo chini, point kubwa ni kwamba bu project hii atai dedicate kwa girlfriend wake Jerrika Karlae.

Drizzy kwa sasa yupo vacation Dominican Republic, majibu yake kupitia instagram yalikuwa hivi “Thanks for this journey my brada,” “u 1 of the realist rappers I know… very GgenuinNe man and brada, I love the way u treat me and respect me and my heart!!! YOU R NUN LIKE THESE OTHER RAPPERS. I mean ALL OF EM…. And for that I’m with u foreva!”

Drake alishukuru kwa shavu hilo na kusema kuwa jamaa ni mchizi wa kweli, Drake na Young thug hivi karibuni wamefanya mikono kama  “Ice Melts” na “Sacrifices” kwenye More Life ya Drake.