Another One "Unanimaliza" Kutoka Kwa Stellina Mwenda, Enjoy Nayo Hapa


Stellina Mwenda anazidi kuonyesha uwezo wake kwenye Industry ya muziki baada ya kuachia wimbo wake "Unanimaliza" unaokuja kama wimbo wa pili tangu kuanza kwa safari yake ya muziki mwaka jana 2016 alipoachia "Give Me That Money".

Isikilize/Download Hapa Unanimaliza Halafu Acha Mawazo Yako,


Kama haukuwahi kuisikia "Give Me That Money" Enjoy na Hii Video Yake Hapa Chini..