Orbit 'Mkwanja ulisababisha tuzinguane na Uongozi na Washkaji'


Rapa mkali anayekuja kwa kasi Bongo, Orbit aliyetoka na Ngoma ya Makaveli na kufanya poa alidai kuwa sababu za kuchelewesha VIDEO ya ngoma yake mpya Stay True na kua kufanya VIDEO ingine Take Me High ni kulitokea kutoelewana na uongozi wake na washkaji sababu za mshiiko kwa hiyo mipango inavurugika.

Mtazame hapa Orbit akielezea mchongo huu kwenye THE PLAYLIST Times FM