Mama yake na Kendrick Lamar is like DAMN


Mama wa Rapa, Kendrick Lamar Paula Oliver alimtuma meseji mtoto wake Kendrick na kumchana kuwa amesikiliza album yake Mpya ya DAMN iliyofanyua vizuri Marekani na Ulimwenguni na kuwa anaikubali sana.

Alimwambia album hiyo ni kali na kusema kuwa ni album bora kwake (Paula Oliver), meseji hiyo ilikuwa na jokes flani hivi lakini hivo ndivyo utamaduni wa wanyamwezi wanavyoishi so mzuka tu.

Ujumbe huo ulishuka hivi.