Lil Wayne, Nick Minaj na Drake wameungana kwenye VIDEO Mpya.


ilivotoka album ya Drake VIEWS, Stori zilikuwa nyingi sana kuwa Drake na Nick Minaj hawapigi tena stori licha ya ukaribu wao wa zamani, no wonder Nick hakutokea kwenye album hiyo ya Drake.

Utakumbuka Drake aliwahi kusema kuwa Nick alizingua baada ya kuwa na uhusiano na Meek Mill, Raper ambaye amekuwa na beef zito na Drizzy!

baada ya hapo, imetoka cideo mpya ya No Fraud iliyowakutanisha Drake na Nick Minaj wakiwa na God Father wao Lil Wayne.

Katika chupa hilo kuna vipade vya London na Marekani, ambayo imewaonesha wakiunga na kuwa na nguvu moja kama wasanii watatu wakubwa wenye nguvu “The Big Three.”

Video inaanza na maneno ya ellen DeGeneres moja ya mtangazaji mkubwa Marekani wa kipindi chake cha TV ellen show.katika ngoma hii, Nick anaonekana kuendeleza michano yake kwa Remy Ma,

Kabla haijatoka alisema ilikuwa “fun, free…euphoric” and “nostalgic” kufanya chupa hilo,

alisema ilikuwa poa sana kufanya na babies wake na kusema aliwamiss sana “So good shooting w/my babies again, “Missed them a lot. Young Money.” Nick - ali tweet.

Alidai kuwa hii ndio video yake bora katika videos zake zote,  “It’s definitely the best video I’ve ever released,”
Ngoma hii imetoka baada ya Nick kufanya Mini-Movie yake Mert & marcus “Regret in Your Tears.”
 
Tazama interview ya Diamond Platnumz hapa