Kendrick Lamar ameachia Album yake mpya DAMN


Rapa mkali kutoka, born and raised in Compton Marekani, Kendrick Lamar ameachia album yake mpya ya 4 DAMN April 14.

Album hiyo imeonekana kupokelewa vizuri na wasanii na wadau mbalimbali, ina ngoma 14 ndani na imezungumzia nafasi za pili katika maisha, maisha yake, ya mshua wake, vifo na ishu kibao.

DAMN ni Album ambayo inaonekana kuja kumpa mafanikio Zaidi rapa huyo kutokana na response aliyoipata baada ya ku drop mzigo huo.

Wengine wanaanza kuzishindanisha album za Drake na Kendrick kuona ipi kali Zaidi?


Cover ya Album muonekano wake huu apa:


Ngoma zilizopo kwenye Album hii ni:

No.TitleWriter(s)Producer(s)Length
1."Blood"
 • Bēkon
 • Tiffith
1:58
2."DNA" Mike Will Made It3:05
3."Yah"
2:40
4."Element"
3:28
5."Feel"
 • Duckworth
 • Spears
Sounwave3:34
6."Loyalty" (featuring Rihanna)
 • DJ Dahi
 • Sounwave
 • Martin
 • Tiffith
3:47
7."Pride"
 • Lacy
 • Tiffith
 • Bēkon[a]
4:35
8."Humble"
 • Duckworth
 • Williams II
Mike Will Made It2:57
9."Lust"
5:07
10."Love" (featuring Zacari)
 • Duckworth
 • Zacari Pacaldo
 • Teddy Walton
 • Spears
 • Greg Kurstin
 • Tiffith
 • Walton
 • Sounwave
 • Kurstin
 • Tiffith
3:33
11."XXX" (featuring U2)
 • Mike Will Made It
 • DJ Dahi
 • Sounwave
 • Tiffith
 • Bēkon[a]
4:14
12."Fear"
7:40
13."God"
 • Riera
 • Sounwave
 • DJ Dahi
 • Bēkon
 • Cardo
 • Tiffith
4:08
14."Duckworth"
4:08

Tazama interview ya FID Q kwenye THE PLAYLIST