Hii ndio Simu kali kwa Selfies za Kibabe mjini, TECNO Camon CXBaada ya kufanya vizuri na simu zao za Camon C9, Kampuni ya Simu za Smartphone TECNO imekuja na toleo jipya la simu zao za Camon na safari hii ni Camon CX yenye ubora zaidi kwenye kupiga picha kali za mvuto.

Camon CX inakuja na umbo zuri na features za uhakika kwa mjanja kwenye smartphone ili uweze kuvimba kwenye mitandao ya kijamii na kupata ma likes na comments kwa picha kali za mvuto na mwanga mkali.

Hivi ndivyo inavokuja kwenye boxi lake na vitu vunavyopatikana ndani yake, tulifungue boxi la Camon CX tuone kuna nini?