Drake amechukizwa na Ubaguzi na moja ya Hoteli na Kuwachana.

Moja kati ya Hotel huko LA Marekani imemkwaza rapa Drake baada ya kukaa hapo weekend hii yeye na washkaji sake kwenye Coachella Music and Arts Festival.

Drake alichukuzwa kwa kitendo cha wahudumu wa hotel hiyo kuwabagua wakati wa kuwahudumia walipokuwa wamefikia hapo.

Drizzy aliaenda kwenye page yake ya Instagram na kuweka logo ya hoteli hiyo na kuwachana jamaa na baada ya muda kuifuta post hiyo.

"The most offensive place I have ever stayed at in my life with staff who pick and choose who they are going to accommodate based on racial profiling" stories ikiwafikia jamaa  wa Madison Club na walikataa na kudondosha comment kwenye post ya Drake kabla jamaa hajaifuta. Walisema wanafuatilia ishu imetokea vipi na kuisolve na pia wanaomba radhi sana kwa kilichokutokea (Drake) na jamii nzima na kuahudi kumchukulia hatua aliyefanya hivo.

"We are trying to get this issue fixed as soon as possible. Customer satisfaction is our number one priority and for you to experience such a thing is embarrassing for us," the club wrote. "We are very sorry for the inconvenience and we will be issuing out a formal apology to you and the public. We will also be investigating this as we do not tolerate racial discrimination."


Drake alienda kwenye festival ya Coachella na kufanya performance ya surprise wakati Rapa Future anaperform.