Video : Cheki Ludacris Na T-Pain Walivyokinukisha Kwenye Birthday Ya Chance The Rapper

Jumapili iliyopita yaani April 16 mwanamuziki Mmarekani Chance The Rapper alisherehekea siku yake ya kuzaliwa, Sherehe hizo za miaka 24 ya kuzaliwa rapa huyo zilifanyika “Studio Paris NightClub” pande za Chicago Marekani.

 Ukiachana na muonekano wa keki unayoiona hapo ambayo ilionekana kuwa kivutio kwenye tukio hilo, Unaambiwa mpango mzima ulinoga zaidi baada ya stage iliyokua imeandaliwa kwa ajili ya Perfomance kuvamiwa na Ludacris na ngoma yake “Move Bi**h”

huku T-Pain akakisanua na hitsong yake ya mwaka 2007 “Buy UA Drink”