VIDEO: Tazama interview ya Fid Q kwenye THE PLAYLIST Times FMFid Q ameeleza kwanini hakupenda kumpa namba yake ya Simu Edu Boy walivokutana baada ya kuomba namba na rapa huyo anayechipukia, cha kumshangaza kaja kumsikia rapa huyu anamchana kwenye ngoma yake mpya!


Pia Fid alieleza jinsi beef lake na Rado lilivoanza pia alisema kuwa yeye na Joh Makini hawana beef, ni mashabiki tu walioitengeneza lakini yeye akijicheki anaona hawajawahi kuwa na tatizo na Joh ndio maana hata Joh alivotoa video yake ya Waya, Fid aliposti clip kumsapoti mwamba.


ameeleza Safari yake ya kuingia Mj Records, Baucha Records mpaka Bongo Records.


amezungumza ishu za Professor Jay, AY, Mwana FA, Salama Jabir, P Funk, Ludigo, Master Jay, Shaa kuhusu muziki na game ya Bongo Hip Hop.