Drake ameweka Rekodi kubwa zaidi Billboard

More Life ya Drake imepata mafanikio makubwa sana na kukaa kwenye chart za Billboard 200 kwa zaidi ya wiki moja. 
Drake amezizima rekodi mbili za Billboard Hot 100 ya kwanza ni ngoma kali kwa msanii yoyote ambaye yuko solo (154) na simultaneous hits on the chart (24).
  Rekodi zote hizo zimemfanya Msanii Drake kumfunika Msanii Lil Wayne na kumtupa katika nafasi ya pili akiwa na jumla ya entries 135 na debuts 21, hii inaonyesha jinsi gani kundi la Young Money lilivyokuwa tishio kwa sasa, Nicki Minaj amekalia kiti na kuvishwa cheo cha mwanamke anayeongoza kama solo artist.

More Life ya Drizzy imepiga takribani unit 505,000 na kuifanya kukaa kwenye Billboard 200 katika wiki yake ya kwanza kushinda ile ya Views na ikafika hadi week ya pili kwenye chart hizo.