Picha Za Nicki Minaj Zamtoa Povu Mtangazaji Wa Radio


Nicki Minaj yupo Paris Ufaransa kwenye maonyesho ya mitindo, Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapa huyo amekua akipost picha katika pozi tofauti. Kutokana na wingi wa followers wake wanaokaribia milioni 76 amekua akijikusanyia likes na Komenti za kutosha kwenye picha zake,
 Baadhi ya picha zilizoonekana kuwavutia zaidi mashabiki ni hizi hapa:Licha ya mashabiki kumsifia kwa picha hizo mmoja wa watangazaji na producer maarufu FunkFlex wa Breakfast Club ya HOT97 ametumia ukurasa wake wa Instagram kumpa makavu mwanadada Nicki Minaj kwa madai alichokifanya ni sawa na kujizalilisha ukilinganisha na hadhi yake.

"! Just to keep it a buck! I know you have sold a lot of records in the past and we all know your an attractive woman.... I ain't the gatekeeper... just a fan of the music.. u from queens... you did try to claim "QUEEN" for many years! I may not be the biggest Drake fan but he did attend to his business when confronted whether he writes or not! You NEVER post pics like this? I get it.. "distraction" !!!! Love u as a entertainer!!! Disappointed in u as a lyricist!!" amendika Funkflex