Wema Sepetu kaja na App yake kali ya kutisha, Asema 'Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa"

Muigizaji maarufu wa Bongo Movie na Miss TZ 2006, Wema Sepetu baada ya kufuta picha zake zote instragram wiki iliyopita na kuanza fresh 2017.

Wema aliwaahidi mashabiki zake kuna kitu kikubwa kinakuja mwaka huu na wategemee mambo mazuri zaidi, alisisitiza kusema kuwa atakuwa karibu zaidi na mashabiki zake.

Sasa kumbe alichokuwa anamaanisha ni kuja na App ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa michongo yote na updates zake, Habari zake, Vipindi vya TV, mambo ya fashion, movies zake na watu kuweza kuwa nae karibu zaidi kwa kuchati and stuff like that.

Wema aliitanga App yake hiyo kupitia page yake ya Instagram:

And There You have it Ladies & Gentlemen.....My very own Application just so u could have me closer than you think.... Download now on Playstore and dont forget to subscribe.... Everything Wema.... Oh Yes na kile kipindi chenu mkipendacho mtakikuta huko huko..... But now u can download it quick and get to hear what I have to say about hizi habari za leo... That is my Breaking News kwa app TODAY!! Yall dont think ningekaa kimya tu ryt...πŸ€”πŸ€” Well I got something to say... Na kuiskia, Ingia Playstore na Udownload WemaSepetu, Subscribe alafu pata kuskia na kujionea meeeengiii... Ukimya Mwingi Rahaaa... Endiwooo Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… (Kidding) So that special thing y'all have been waiting for is Finally here.... Enjoy it.... #WSSoCloseToYou #WSyourAddiction .... NB... This is Only for Android Users for the Time Being, wale wapenda Iphone kama mimi Its Coming Soon..... Dont forget one Thing, Nawapenda Sana...!😘.... Na hii sio Tanzania tu jamani.... Ni Worldwide aslong as una Playstore.... Yaani inshort na sisi tuna application Yetu kama vile Instagram na Games or whatever.... Oh Lord...!πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ.... Im Thankful, Grateful.... I feel blessed wallahy...!!!πŸ™

Cheki Wema Alivosema wakati anafanya teaser ya App yake hiyo: Sio simba, Sio Chui, Sio mamba, Brand yangu inatosha kujigamba.