VIDEO: Tazama interview ya Mabeste kwenye THE PLAYLIST Times FM


Tazama interview ya Mabeste kwenye show kali ya kibabe THE PLAYLIST Times FM.

 
inaendelea, Sauti bila VIDEO: The Playlist ni kila Jumamosi kuanza Saa 6 hadi Saa 8 mchana, 100.5 Times FM na the baddest boi, Lil Ommy. Omary Tambwe. mcheki kwenye instagram na twitter @LilOmmy kwa more info na Subscribe to LilOmmyTV uwe wa kwanza kupata notification ya madini mapya ya kiingia.