Usichokijua Kuhusu 'I Got The Keys" Ya Dj Khaleed


Dj Khaleed yupo onfire ukiangalia vizuri kwenye kumbukumbu zako project za "We The Best Music zikiwemo hitsongs kama "Do You Mind" utagundua Ndio Chanzo cha kumuweka pazuri. Kitu ambacho kinaweza kumdropisha kwa sasa ni ngoma yake "Igot The Keys" aliyowapa mashavu Jay Z na Future.


Kitu ambacho mimi na wewe tulikua hatukijui ni kuhusu wimbo huo kutengenezwa kwa beat ya wizi, Producer Chris Hill ameibuka na kudai mwaka 2008 alimpatia DJ Khaleed beat hiyo walipokutana kwa mara ya kwanza, Chris amedai kushangazwa baada ya kusikia mdundo wake umetumika kwenye ngoma hiyo bila makubaliano na yeye,

Kwa mujibu wa sheria ukitumia hakimiliki ya mtu bila makubakliano nae tafsri yake rahisi utakua tayari kwa chchote kitakachotokea, Hivyo Basi iwapo Dj Khaleed atapatikana na hatia ya kutumia beat hii bila makubaliano atatakiwa kulipa faini au kutumikia hukumuu kutokana na maamuzi ya mahakama.

Icheki Hapa I Got The Keys Jay Z & Future Ndani:


Beyonce na Jay Z kupata watoto mapacha, alitangaza Queen Bey instagram, Rihanna awapongeza: